WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO

HAG1
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sere,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (katikati na Mwanansheria Mkuu wa Serikali, George Masaju,bungeni Mjini Dodoma Aprili 25, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
HAG2
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango, bungeni mjini Dodoma Aprili 25, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
HAG3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sere,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (katikati na Mwanansheria Mkuu wa Serikali, George Masaju,bungeni Mjini Dodoma Aprili 25, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
HAG4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, bungeni Mjini Dodoma Aprili25, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
HAG5
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kulia) akiteta na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt,. Hussein Mwinyi, bungeni Mjini Dodoma Aprili 25, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
HAG6
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mwibara, Kange Lugola, bungeni Mjini Dodoma Aprili 25, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
HAG7
Mwenyekiti wa Bunge Dkt. Mary Mwanjelwa  (kushoto) akiteta na Mbunge wa Viti Maalum Grace Kiwelu, bungeni mjini Dodoma Aprili 25, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
HAG10
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 25, 2016. Katikati ni Mbunge wa Urambo, Margaret Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.