Breaking News-DR MIGIRO aula,Balozi mpya wa Tanzania Nchini UingerezaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, amemteua Dk. Asha Rose Migilo kuwa Balozi wa Uingereza ambapo kesho Mei 5.2016, anatarajia kuapishwa rasmi katika Ikulu ndogo ya Chamwino.
Taarifa ya Ikulu

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.