Monday, May 9, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA JENGO LA KITEGAUCHUMI LA MFUKO WA PENSHENI PPF JIJINI ARUSHA


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akikata utepe


kuzindua rasmi, Jengo la Kitegauchumi la Mfuko wa Pensheni (PPF) lililopo Mtaa
wa Korido Jijini Arusha leo Mei 9, 2016. Wa pili (kushoto) ni Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira,
Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenister Mhagama, (kushoto) ni Meya wa jiji
la Arusha, Calist Lazaro (wa kwanza kutoka kulia) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini
ya PPF, Ramadhan Kijjah, Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio na Waziri wa Fedha
na Mipango, Dkt. Phillip Mpango.
Picha zote na Mafoto Blog
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akimpongeza Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, baada ya kuweka Jiwe la Msingi
la uzinduai wa Jengo la Kitegauchumi la Mfuko huo lililopo Mtaa wa Korido
Jijini Arusha leo Mei 9, 2016.
 Jengo hilo lililozinduliwa leo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akihutubia wakazi
wa arusha na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipozindua rasmi, Jengo
la Kitegauchumi la Mfuko huo 
 (PPF)
lililopo Mtaa wa Korido Jijini Arusha leo Mei 9, 2016.
 Sehemu ya wadau kutoka NSSF waliohudhuria uzinduzi huo wa wenzao wa PPF.
 Sehemu ya wadau wakimsikiliza Mhe. Rais Dkt. Magufuli…..
  Baadhi ya wafanyakazi wa PPF Kanda yas Arusha wakimsikiliza Mhe Rais wakati akihutubia.
 Sehemu ya wananchi wa Jiji la Arusha wakimsikiliza Mhe.  Rais Dkt. Magufuli…..
 Wananchi wakimshangilia Mhe Rais wakati akihutubia…..
 Sehemu ya wananchi wakimsikiliza Mhe Rais.
 Baadhi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakimsikiliza Mhe Rais wakati akihutubia.
  Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni PPF na Wakurugenzi wa Mfuko wa huo  wakimsikiliza Mhe Rais wakati akihutubia.
 Baadhi ya viongozi na wadau wa Mfuko huo na Meya wa Jiji la Arusha Calist Lazaro (kushoto) wakimsikiliza Mhe Rais.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimiana na Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi PPF, Ramadhan Kijjah, wakati alipowasili kwenye Viwanja
vya Jengo la Kitegauchumi la Mfuko wa Pensheni PPF lililopo Mtaa wa Korido
jijini Arusha kwa ajili ya uzinduzi wa jengo hilo leo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimiana na Mkurugenzi
Mkuu wa PPF, William Erio, wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Jengo la
Kitegauchumi la Mfuko wa Pensheni PPF lililopo Mtaa wa Korido jijini Arusha kwa
ajili ya uzinduzi wa jengo hilo leo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimiana na baadhi
ya Wadau wa Mfuko wa Pensheni 
 PPF,
wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Jengo la Kitegauchumi la Mfuko wa
Pensheni PPF lililopo Mtaa wa Korido jijini Arusha kwa ajili ya uzinduzi wa
jengo hilo leo.
 Wakifurahia baada ya uzinduzi huo….
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimiana na Meneja
wa PPF Kanda ya Arusha, Onesmo Ruhasha, wakati alipowasili kwenye Viwanja vya
Jengo la Kitegauchumi la Mfuko wa Pensheni PPF lililopo Mtaa wa Korido jijini
Arusha kwa ajili ya uzinduzi wa jengo hilo leo.
 Picha ya pamoja baada ya uzinduzi huo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisalimiana na Meneja
Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, wakati
alipowasili kwenye Viwanja vya Jengo la Kitegauchumi la Mfuko wa Pensheni PPF
lililopo Mtaa wa Korido jijini Arusha kwa ajili ya uzinduzi wa jengo hilo leo.
 Picha ya pamoja baada ya uzinduzi huo.
 Viongozi wakiwa meza kuu wakiimba wimbo wa Taifa
 Wadau wakiimba wimbo wa Taifa
Wadau wakiimba wimbo wa Taifa

No comments: