Wednesday, May 25, 2016

YANGA WALIVYOPOKEA KOMBE LAO LA PILI KWA KUIFUNGA AZAM FC BAO 3-1 UWANJA WA TAIFA

MMG_6402 copyRais wa Shirikisho la soka nchini, Jamal Malinzi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Shirikisho (ASFC), Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub, mara baada ya kutwaa ubingwa huo kwa kuichapa Timu ya Azam FC, Bao 3-1, katika mchezo uliomalizika jioni hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini, Dar es salaam. 
MMG_6429 copyWachezaji wa Timu ya Yanga pamoja na viongozi wao wakishangilia baada ya kutwaa Kombe la Shirikisho, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo.
Picha kwa hisani ya  Michuziblog.

No comments: