VIDEO-UFUNGUZI WA WARSHA YA WANAHABARI KUTOKA TGNP

Hii ni report kutoka TGNP ambapo semina maalum kwa wanahabari imezinduliwa kwa ajili ya kuwafunda wanahabari juu ya junsi gani wanaweza kureport na kuzungumza maswala ya jinsia na pia kujadili bajeti ya Tanzania yenye mlengo wa Jinsia.

Nimekuletea Video Kidogo ambapo LILIAN LIUNDI Mkurugenzi wa TGNP ndiye aliyezindua Warsha hiyo kwa siku mbili na hapa anazungumza mafanikio kadhaa waliyoyapata tangu waanze kufanya Uraghibishi kwa waanchi,Tizama hii

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.