PICHA--BIRTHDAY PARTY YA MDAU WA HABARI24 MEDIA FINE GGY(REGINA KIHWELE)

Mdau mkubwa wa Mtandao wetu wa Habari24 Media REGINA KIHWELE alipata nafasi ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa mwishini mwa wiki hii sherehe ambazo zilichagizwa na Yeye kutimiza miaka 18 ambayo inatafsiriwa kuwa ndio miaka ya kuwa Mtu mzima na kuaga Utoto.

Sherehe ambazo zilifanyika katika Hoteli ya Courtyard na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wakiwemo wanafamilia na marafiki wa Bi REGINA(FINE GGY).
Nimekupa nafasi ya kutizama Picha kadhaa ya kilichojiri katika sherehe hizo mwishoni mwa wiki hii.


Fine ggy Akitoa burudani ya wimbo wake mpya ambao pia unatumika nkumtambulisha Rasmi katika Tasnia ya music nchini Tanzania wimbo alioupa jina la NEW FACE ambao uliwafanya wageni kulipuka kwa furaha ukumbini hapo.


Mmiliki wa HABARI24 MEDIA wanaomiliki HABARI24 TV ONLINE na HABARI24 BLOG Ndugu EXAUD MTEI maarufu kama Msaka Habari alikuwa ni mmoja wa waalikwa katika usiku huo mzuri pichani akiwa na REGINA maarufu kama FINE GGY wakati wa kukumbuka kuzaliwa kwake na kutimiza miaka 18.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.