RAIS MAGUFULI ALIVYOTINGA OFISI ZA GAZETI LA CHAMA CHAKE CCM LEO

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasilikiliza  wafanyakazi wa UPL alipowasili katika ofisi hizo leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akifuatana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili katika Ofisi za Uhuru Publications Limited mtaa wa Lumumba, Da es Salaam, ambako baada ya kutembelea baadhi ya ofusi za kampuni hiyo alizungumza na wafanyakazi ambapo ameahidi kutatua kero zinazowakabili kwa muavuli wake wa uenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi.
index
Mwenyekiti wa CCM, Ras Dk. John Magufuli akiwapungia mkono wananachi waliokuwa na shauku ya kumuona wakati akitoka katika ofisi yake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Septemba 19, 2016.  Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha na Bashir Nkoromo).

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.