Monday, October 3, 2016

DSE WATOA TUZO KWA BENK ZINAZOFANYA VIZURI NCHINI


SERIKALI imesema itaendelea kutoa ushiriano na makampuni na tasisi za kifedha ili kuwezesha taasisi hizo kuweza kuchangia pato la taifa nakuweza kukuza uchumi wa nchii

Akizungumza katika hafla ya kukabidhi tuzo mbalimbali zilizo tolewa na DSE JIJINI DAR ES SALAAM mkaguzi mkuu wa mstahafu wa mahesabu ya serikali Bw Ludovick Uttoh amesama tuzo zilizo tilewa na soko la hisa litawezesha makaampuni hayo kujenga utamaduni wa kuhudumia jamii baada ya kuzalisha mapato yake kupitia huduma zilizo tolewa na tasisis hizo

''tunzo hizi zinalenga kutathimini  kampuni yenyekuuza hisa zake kupitia DSE ,mgawanyo wa gawio ,nauwezo waukwasi wakampuni na namna inavyo tunza mazingira ''Alisema Ludovick uttoh .
Mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serikali mstaafu Uttoh alisema kuwa DSEimekuwa ikichangia kukuza uchumi wake kupitia masoko amitaji hali inayochangia makapuni yanayo orodhesha nataasisi hiyo ya fedha kufanya vizuri .

Katika hatua hinyingine Uttoh aliyataja mkapuni yaliyofanya vizuri katika kuuza amana zake kupitia soko hilo nipamoja na Obirt Security ambapo amekuwa kampuni katika kuuza amana zake kupitia soko hilo wakati benki ya kibishara kuuza hisa zake kupitia sokohilo CRDB ikishika nafasi yakwanza ikifutiwa  benki ya maendeleo bank huku makapuni TBC ikongoza kama chombo chahabari ikinachotangaza elimu yahisa kupita soko hilo huku gazeti la citizeni kiongoza kwa kuchapisha habari za hisa

No comments: