Thursday, November 10, 2016

KUMBE NAIBU SPIKA TULIA AKSON SIO WA MCHEZO MCHEZO

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson (kulia), wa timu ya Bunge  akidaka mpira ulioelekezwa golini kwake walipocheza na timu ya Wilaya ya Chato katika mchezo wa kirafiki wa netiboli uliofanyika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

No comments: