SERENGETI BOYS WAKWAA PIPA KUELEKEA KOREA YA KUSINI

a3
Vijana  walio chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys akiingia kwenye eneo la ukaguzi katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa J.K.Nyerere tayari kwa safari kuelekea nchini Korea ya Kusini kushiriki mashindano maalumu ya vijana walio katika umri huo. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
a2
Vijana  walio chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys wakiwasili katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa J.K.Nyerere tayari kwa safari kuelekea nchini Korea ya Kusini kushiriki mashindano maalumu ya vijana walio katika umri huo.
a1
Vijana  walio chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys akiingia kwenye eneo la ukaguzi katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa J.K.Nyerere tayari kwa safari kuelekea nchini Korea ya Kusini kushiriki mashindano maalumu ya vijana walio katika umri huo. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.