Sunday, November 13, 2016

TAIFA STARS ILIVYOKUBALI KIPIGO KUTOKA KWA VIJANA WA MUGABE

Mshambuliaji wsa Taifa Stars, Elius Maguri akichuana na beki wa Zimbabwe, Hadebe Teenage katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe leo. Tanzania ilifungwa mabao 3-0. Post a Comment