Taarifa kutokea Bunda: Mbunge wa jimbo la Bunda-mjini, Esther Amos Bulaya, ameshinda kesi yake ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili, iliyofunguliwa na wanachama 4 wa CCM na aliyekuwa mgombea ubunge wa chama hicho, Steven Wassira.., kesi hiyo ya kupinga matokeo ya uchaguzi ilifunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, lakini ilikuwa inasikilizwa mjini Musoma, Mara. |
No comments:
Post a Comment