Mbunge wa Chalinze Ridhiwan Kikwete ahudhuria mahafali ya 15 chuo kikuu mzumbe Kampasi ya Dar es salaam

Mbunge wa Jimbo la chalinze Mh Ridhiwan Kikwete akipiga selfie na baadhi ya watumishi wa chuo kikuu cha mzumbe Kampasi ya Dar es salaam wakati wa mahafali ya 15 ya shahada ya uzamili.

Mbunge wa Jimbo la chalinze akigonga Glasi na Mkuu wa chuo cha Mzumbe Jaji Mkuu Mstafu Francis Samata wakati wa maafali ya 25 ya shahada ya uzamili katika  chuo kikuu mzumbe Kampasi ya Dar es salaam  

Mbunge wa Chalinze Ridhiwan Kikwete Akisubiri kuanza kwa kwa mahafali ya 15 ya shahada ya uzamili katika chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.