TIZAMA HII KUTOKA KWA FREMAN MBOWE LEO


Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Mbunge wa jimbo la Hai, Mhe. Freeman Mbowe akitembelea mashamba yake ya kilimo cha kisasa cha mboga mboga ( Green House) na kuwajulia hali wafanyakazi pamoja na wataalam wake leo Ijumaa 27/01/2017 jimboni Hai, pia amepata wasaa ya kuzungumza na baadhi ya wafanyakazi na kueleza juu ya hofu kubwa waliyoingia za kupoteza ajira zao wan azozitegemea katika kuendesha maisha yao ya kila siku.
 

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.