ANNA ABDALLAH APONGEZWA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI YA TGGA

 Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wadhamini ya Tanzania Girl Guids Association (TGGA), Anna Abdallah (kushoto), akipongezwa na Kamishna  Mkuu wa TGGA,  Symphorosa Hangi  (kulia) na Mwenyekiti wa Taifa wa TGGA, Profesa Martha Qorro baada ya kuchaguliwa Dar es Salaam jana. 
 Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wadhamini ya Tanzania Girl Guids Association (TGGA), Anna Abdallah (kushoto),Kamishna  Mkuu wa TGGA,  Symphorosa Hangi  (kulia) na  Mwenyekiti wa Taifa wa TGGA, Profesa Martha Qorro  wakipiga makofi wakati wa mkutano huo wa kumtambulisha Anna. 
 Mwenyekiti mpya wa Bodi ya  Wadhamini ya Tanzania Girl Guids Association (TGGA), Anna Abdallah (kushoto), akipongezwa na Mjumbe wa Bodi hiyo, Zakia Meghji.

 Katibu wa Taifa wa TGGA, Grace Shaba (kulia) akimpongeza Anna Abdallah
 Mary akimpongeza Anna Abdallah
 Wakiwa na furaha kutoka kushoto ni Grace Makenya, Anna Abdalah, Profesa Martha Qorro na Hangi
 Baadhi ya Girl Guids wakiwa katika picha ya pamoja

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.