RC MAKONDA AITWA BUNGENI,HATARINI KUVULIWA WATHIFA WAKE

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma limeandika barua kwenda kwa Kamati ya Maadili na Uongozi wa Umma kuitaka kamati hiyo kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda kwenda Bungeni na kuomba radhi juu ya Majibu aliyoyatoa kuhusu tuhuma za mwenendo wa anavyoshughulikia swala la dawa za kulevya.

Jana mjini Dodoma Paul Makonda alituhumiwa kuwaacha baadhi ya watu wanaotuhumiwa kujihusisha na dawa za kulevya huku ikidaiwa kwamba ana uhusiano na baadhi ya watuhumiwa wa dawa za kulevya ambao hakuwataja. Katika majibu yake kwa waandishi wa habari leo alijibu kwa ufupi juu ya tuhuma hizo baada ya kuulizwa swali na wanahabari kwa kuwaita wabunge kuwa ni wachekeshaji na wengine kazi yao ni kulala bungeni suala lililozua mjadal

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.