HABARI MPYA

PICHA MBILI-MAKONDA AWEKWA KIKAANGONI BUNGENI LEO

Hatimaye Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekubali wito wa Bunge wa Kuhojiwa na Kamati yake juu ya Tuhuma mbalimbali ikiwemo ya kulishushia Heshima Bunge La Tanzania,Picha Mbili Zikimuonyesha Mkuu Huyo wa mkoa akiwa Tayari Mbele ya Kamati Hiyo


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.