Askofu Josephat Gwajima amemuonya Msanii Diamond Platnumz kumuimba katika wimbo wake huku akimtaka mbunge Halima Mdee kuacha mara moja tabia ya kutukana viongozi. Askofu Gwajima pia amezungumzia sakata ya msanii Roma Mkatoliki kutekwa.
Sikiliza hapa mahuburi ya Askofu Gwajima leo Jumapili Aprili 9,2017 katika kanisa la Ufufuo na Uzima
Bofya hapa |
No comments:
Post a Comment