HABARI ZA KIJAMII

Mzee wa Miaka 78 Ajiunga na Darasa la Kwanza..!!!


Waswahili husema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, na elimu siku zote haina mwisho.

Huko Sirari Mkoani Mara Mzee wa miaka 78 amejitosa na kuanza darasa la kwanza mara tu baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya awali.

Mzee Nyamhanga Seguta alifikia uamuzi huo baada ya kuteseka sana na mahesabu katika biashara yake ya kuuza ndizi.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.