HABARI MPYA

SAMAHANI KWA PICHA --AJALI ILIYOTOKEA LEO DAR ES SALAAM

 Watu wawili wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa kutokana na ajali iliyotokea leo (Jumatano) eneo la Superdoll Barabara ya Mwl Nyerere. ajali hiyo ya uso kwa uso  imehusisha gari aina ya Scania Roli yenye namba za usajili T 273 CEV na Bus Eicher lenye namba T 376 DFT lililokuwa likitokea Gongo la Mboto.
About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.