Thursday, June 8, 2017

JAMBO AMBALO HUTAKIWI KULIKOSA LEO KUTOKA TANZANIA


BALOZI WA Umoja wa Ulaya  nchini mhe. Van De Geer Roeland amekutana na
kufanya mazungumzo na  Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof.
Sifuni Mchome na timu yake. Mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa
Katibu Mkuu Prof Mchome mjini Dodoma.
 Katika kikao hicho suala la upatikanaji wa haki kwa watu wote nchini
hususan watu wasio na uwezo lilijadiliwa ikiwa ni pamoja na kuimarisha
na kuboresha mahusiano mazuri baina ya Wizara na Umoja wa Ulaya.

No comments: