Uongozi mzima wa Habari 24 Media ambao ni wamiliki wa Habari 24 blog pamoja na Habari 24 Tv unapenda kutoa pongezi za dhati kwa ndugu zetu Waislamu kwa kuweza kumaliza salama mwezi Mtukufu wa Ramadhani na hatimaye leo sikukuu ya eid el fitr.
mpenzi msomaji na mtazamaji wa vyombo vyetu vyote tunakutakia siku kuu njema ya eid el fitr mungu akitie nguvu na afya njema wakati wote wa kusherekea siku kuu hii ukae mbali na magomvi hatimaye jumaa tano tuingie tena kazini.
Pia endelea kufuatilia Habari 24 Media kwa habari na matukio motomoto toka pade mbalimbali za Tanzania na kama kauli mbiu yetu inavyosema "Habari ni haki ya kikatiba" hivyo basi endelea kupata haki yako kwa kusoma habari toka Habari 24 Blog.
No comments:
Post a Comment