Mshambuliaji wa Jang'ombe Boys, Juma Hafidh, akijaribu kumtoka beki wa Gor Mahia,Kagere Medie, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliomalizika hivi punde, Gor Mahia wameshinda mabao 2-0 yaliyofungwa na Medie Kagere katika dakika ya 63 na 84. Picha kwa hisani ya Montage Ltd. |
No comments:
Post a Comment