HABARI24 TV

VIDEO MKUU WA WILAYA YA ILALA SOPHIA MJEMA AWAONGOZA MAMIA YA WANANCHI WA DAR ...

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema amewaongoza mamia ya Watanzania kuchangia damu. Ameeleza kwa kina faida za kuchangia damu na amewaomba watanzania wote kujitolea kwa wahitaji "damu ni uhai na inatulazimu kufanya hivi ili kuweza kuwasaidia ndugu zetu wenye mahitaji haya" alisema ..        
                             
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema akiongea na waandishi wa habari mapema jana viwanja vya Karume jijini Dar es salaam
      
                                      ANGALIA VIDEO HII KUFAHAMU ZAIDI

                     
About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.