HABARI24 TV

VIDEO SHEIKH JALALA KUISAIDIA PALESTINA ANGALIA HAPA

kiongozi mkuu wa Shia Ithuasheriya Tanzania Sheikh Hemed Jalala alisema Parestina wanahitaji msaada wa hali na mali kwani sio Waislamu wala Wakristo wanaishi pale kwa amani na furaha hivyo basi inatupasa kupaza sauti zetu kwa pamoja kuwasaidia watu hawa.
Sheikh Mkuu wa Dhehebu La khoja Shia Tanzania Hemedi Jalala akifafanua jambo

 KWA KUELEWA VIZURI STORY ANGALIA VIDEO HII

                      About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.