HABARI24 TV

VIDEO - SIKU YA MTOTO WA AFRIKA ACT WAZALENDO WATOA MISAADA KWA KITUO CHA "CHILD...


Siku ya mtoto wa afrika chama cha ACT Wazalendo kimeadhimisha kwa kutoa misaada kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu wa kituo cha Child in the Sun kilichopo Mbezi Makabe jijini Dar es salaam. Akiongea kwa niaba ya chama hicho katibu wa kamati ya Maendeleo ya Jamii Taifa ya chama hicho Bi. Edna Sunga. ,,                                      CLICK HAPA KUJUA ALICHOKIONGEA..
                     

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.