Monday, June 5, 2017

TANZANIA YAPATA PIGO KUBWA BALOZI SISCO AFARIKI DUNIA

Image result for balozi cisco mtiro

Mkuu wa Itifaki mstaafu Balozi Sisco Mtiro amefariki dunia leo katika hospitali ya Aga khan alipokuwa akipatiwa matibabu.

Marehemu cisco mtiro alikuwa balozi wa Tanzania nchi za Malaysia, Phillipines, Cambodia,Singapore na Laos.

kwa mujibu wa familia msiba utakuwa nyumbani kwake Mikochen B Dar es salaam,

mipango ya mazishi bado inaendelea kujadiliwa itakapotimia habari 24 itakujuza.

No comments: