MICHEZO

WADAU SAMAHANI MASAHIHISHO YA BY LINE CAPTION PLZ

Wachezaji wa timu ya AFC Leopards ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam, leo Juni 4, 2017 kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya 'SportPesa Super Cup' inayoanza kutimua vumbi kesho Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini, ambapo fungua dimba itakuwa ni kati ya Singida Utd na AFC Leopards, mechi ya pili itakuwa ni kati ya wenyeji Yanga na Tusker Fc na Juni 6 mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Simba vs Nakuru Nakuru All Stars na mchezo wa pili utakuwa 
ni kati ya Gor Mahia Vs Jang'ombe Boys Fc. Picha kwa hisani ya Montage Ltd 

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.