Kipa Aishi Manula, akichupa kudaka mpira
wakati wa mazoezi yanayosimamiwa na Kocha wa Makipa wa Taifa Stars, Patrick
Mwangata aliyepiga magoti katika mazoezi
yanayofanyika Kituo cha michezo cha Tolip (Tolip Sports City) hapa Alexandria,
Misri. Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti inayozalishwa na Kampuni ya
Bia ya SBL, inajiandaa kucheza na Lesotho
Juni 10, 2017 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania kucheza fainali za Kombe
la Mataiafa ya Afrika (AFCON) za mwaka 2019 zitakazofanyika Cameroon. Picha na
Alfred Lucas wa TFF.
|
No comments:
Post a Comment