HABARI MPYA

HABARI MPYA KUHUSU LOWASA LEO POLISI

Habari ambazo zimetufikia muda mfupi uliopita ni Waziri Mkuu mstaafu Mh Edward Lowasa amewasili poisi makao makuu na Tayari ameruhusiwa kuondoka na kuendelea na shughuli zake kutokana na uchunguzi kutokamilika,Taarifa za awali zilidai kuwa Waziri Mkuu Huyo wa Zamani angefukishwa mahakamani lakini kinyume na hayo Lowasa ameruhusiwa Kuondoka kusuiri uchunguzi zaidi

Lowasa amekuwa akihojiwa na Polisi kwa wiki kadhaa sasa akishutumiwa kutoa lugha za uchochezi kuhusu Baadhi ya viongozi wa kidini wakaokabiliwa na kesi za Ugaidi.HABARI ZAIDI ZITAKUFIKIA.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.