BURUDANI

VIDEO MPYA YA COUNTRY BOY FT MWANA FA - TURN UPMsanii wa muziki kutoka LFLG pamoja na Rooftop Entertainment, Country Boy ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Turn Up’ aliyomshirikisha Mwana F.A, audio ya wimbo huo imefanywa na producer S2Keezzy na mastering imefanywa na Hermy B. Video imeongozwa na Hascana nchini Afrika Kusini.


About vicent macha

Post a Comment
Powered by Blogger.