BURUDANI

HAPPY BIRTHDAY AY - SOMA KILICHOANDIKWA NA MASTAA WA BONGO KWENYE PAGE YAKE

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Ambwene Yessahah maarufu kama AY. Mastaa kibao wamempongeza mkongwe huyo wa muziki hapa nchini kwa kumuandikia ujumbe kibao.


Huu ni baadhi ya ujumbe aliotumiwa rapper huyo kutoka kwa mastaa mbalimbali.
Lady Jaydee
Happy birthday brother of life @aytanzania ❤️ #BeYourself
Ommy Dimpoz
Leo Amezaliwa My Brother The Legendary aka Hit Maker @aytanzania Sasa Wakati napiga pasi pensi yangu nikijiandaa kwenda kula nyama choma katika jumba lake la kifahari huko visiwani mbudya😄😄 Hebu na ww Jaribu bahati yako Nitajie AY amezaliwa mwaka gani,Mkoa upi? na Ana miaka mingapi Nitatoa Ticket 3 za kwenda Kuwaona Everton Maana nimesikia mpaka Lukaku anakuja Diiih 😋 Yote haya ni @tzsportpesa #EvertonInTz
Victor Wanyama
Happy bday big boss @aytanzania have a good one bro
Diamond
Big Birthday wish to Msoja wange @jahprayzah and my Legend Brother @aytanzania …. Long Life!!
Mawana FA
my brother,happy G day…stay on point like Erick and Parish,this is that year,nah,i think this is that month..😀@aytanzania
Fid Q
Happy EARTHDAY brethren @aytanzania – asante na hongera sana kwa kuwa mmoja kati ya wale WANA wachache sana ambao kile kibao changu cha #SihitajiMarafiki hakiwahusu.. ubarikiwe zaidi 🙏🏿
Rita Paulsen
Happy Birthday to the Legend aka mwanzilishi, true game changer! @aytanzania Be blessed with many more years! We come a long way
Izzo Bizness
Kwanza Shikamoo bro. Pili kheri ya siku yako ya kuzaliwa bro MUNGU akusimamie kwa kila jambo
Seven Mosha
Happy Birthday Aye… we stay calm through years of waves @aytanzania . I wish you continued success ki- Dr Dre, good health and happiness 🖤 always . God Bless
Rayvanny
HAPPY BIRTHDAY KAKA LAO @aytanzania Mungu Akupe maisha marefu yenye Mafanikio zaidi.
B Dozen
Happy Birthday Mzee Wa Zigoreee, @aytanzania you are one of the coolest people i know! Nakuombea maisha marefu na mafanikio zaidi! Stay Blessed Toyoyo!!! Sema muoe huyo mtoto! 🏃🏾🏃🏾….
Mh Temba
Mzee wa kutema juu na kufukia juu heri ya kuzaliwa @aytanzania mungu akujalie umri mrefu jibaba #tukutaneuzeeni HAPPY B DAY🎂
Kajala Masanja
Happy birthday love unajua vile nakupenda yesu akutunze @aytanzania 😍💜

About vicent macha

Post a Comment
Powered by Blogger.