SIASA

ANGALIA VIDEO TUNDU LISU - LIPUMBA NI YUDA ALINUNULIWA WAKATI WA UCHAGUZI

Mwanasheria mkuu wa Chadema ambae pia ni rais wa chama TLS amesema kuwa Lipumba ni msaliti mkubwa tulianza nae vizuri na akatugeuka dakika za mwisho baada ya kununuliwa.

Hayo aliyasema mapema leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya Chadema Kinondoni Manyanya jijini Dar es salaam.
                                 BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO NZIMA...

                      

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.