.

HABARI MPYA

Majambazi 13 Wauawa Kibiti, Wakutwa na Bunduki 8 Pamoja na Pikipiki Mbili...

Watu 13 wanaodaiwa kuwa ahalifu wameuawa na Askari wa Jeshi la Polisi. Watu hao wamekutwa na Bunduki nane, Pikipiki mbili pamoja na Begi moja la nguo.

Tukio hilo limetokea katika maeneo ya Tangibovu Kijiji cha Milaweni, huko Kibiti Mkoani Pwani.
 

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.