Friday, September 15, 2017

KAULI YA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU KUHUSU JPM KUGOMA KUSAINI BAADHI YA WAFUNGWA WANYONGWE

Kituo cha sheria na haki za binadamu kimeongea mengi sana kuhusu hukumu ya kifo na lakini sasa Rais Magufuli aliibuka na kusema asipelekewe orodha wa watu wanaotakiwa kunyongwa ili yeye asini na zoezi hilo litekelezwe.

Na kituo cha sheria na haki za binadamu kimesema haya kuhusiana na kauli hiyo ya Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli.



                                             Angalia video hii kujua walichokisema.

                      

No comments: