Tuesday, October 24, 2017

VIDEO : DC MJEMA AWAKOMBOA WAKAZI WA UKONGA KWA KUWAFUKUZA FFU WASIENDELEZE KIPIGO KWA WANANCHI

Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema amewataka wananchi wa Ukonga Mazizini kuwa wapole na kufuata maelekezo waliopewa na kuhaidiwa kuwa waalifu hao watashugulikiwa mara moja na jeshi la polisi kwa kuwa RPC alikuwepo eneo hilo.

lakini pia mkuu wa wilaya huyo amewataka wananchi wote walioharibiwa mali zao wajiorodheshe na serikali ya wilaya italifanyia kazi, huku akisisitiza hakukuwa na sababu ya kuchukua sheria mkononi wakati kulikuwa na mbadala wa kulichunguza suala hilo na kulipatia utatuzi.

                              Angalia video hii ili kuona vurugu hizo zilizotokea eneo hilo..
                       

No comments: