Haya ndiyo yaliyojiri
kwenye soko la hisa kwa wiki iliyoisha Ijumaa tarehe 27
Oktoba 2017.
Mauzo ya Hisa
(Turnover/ Liquidity)
Thamani ya mauzo ya
hisa imepungua kutoka Shilingi Billioni 23 ya wiki iliyoishia 20 Oktoba 2017 hadi
Shilingi Bilioni 20 kwa wiki iliyoishia 27 Oktoba
2017,
Idadi ya hisa zilizouzwa
na kununuliwa imepungua kutoka hisa Mil 2.8 ya wiki iliyoishia 20 Oktoba 2017 hadi
hisa Mil 1.6 ya wiki iliyoishia 27 Oktoba 2017.
Kampuni zilizoongoza
katika mauzo ya hisa ni kama ifuatavyo:
TBL…………………………………………99%
SWISS………………………………………0.4%
NMB………………………………………….0.2%
Ukubwa Mtaji (Market
Capitalization)
Ukubwa wa mtaji wa
kampuni zilizoorodheshwa katika soko umepungua kwa Shilingi Bilioni 432 kutoka
Shilingi Trilioni 20.9 wiki iliyopita hadi Shilingi Trilioni 20.5 wiki iliyoishia tarehe 27 Oktoba 2017. Punguzo
hilo limetokana na kupungua kwa bei za hisa za ACA(13%), KA (9%), TTP (8%),
EABL (2%) na DSE (2%).
Ukubwa wa mtaji wa
kampuni za ndani umepungua kwa Shilingi Bilioni 2 kutoka Trilioni 10.165 hadi
kafika Shilingi Trilioni 10.163 wiki hii. Hii ni kutokana na kupungua kwa bei
ya hisa za TTP (8%) na DSE (2%).
Kampuni
|
27 October 2017 (Shilingi)
|
20 October 2017 (Shilingi)
|
Badiliko (%)
|
CRDB
|
170
|
170
|
0.00%
|
DCB
|
385
|
385
|
0.00%
|
DSE PLC
|
1,200
|
1,220
|
-1.64%
|
MBP
|
600
|
600
|
0.00%
|
MCB
|
500
|
500
|
0.00%
|
MKCB
|
890
|
890
|
0.00%
|
MUCOBA
|
400
|
400
|
0.00%
|
NMB
|
2,750
|
2,750
|
0.00%
|
PAL
|
470
|
470
|
0.00%
|
SWALA
|
500
|
500
|
0.00%
|
SWIS
|
3,500
|
3,500
|
0.00%
|
TBL
|
13,900
|
13,900
|
0.00%
|
TCC
|
15,600
|
15,600
|
0.00%
|
TCCL
|
1,200
|
1,200
|
0.00%
|
TOL
|
780
|
780
|
0.00%
|
TPCC
|
1,520
|
1,520
|
0.00%
|
TTP
|
600
|
650
|
-7.69%
|
VODA
|
850
|
850
|
0.00%
|
YETU
|
600
|
600
|
0.00%
|
Kampuni
zilirodhodheshwa kutokea Masoko mengine
|
|
|
|
ACA
|
5,460
|
6,290
|
-13.20%
|
EABL
|
5,310
|
5,410
|
-1.85%
|
JHL
|
10,490
|
10,500
|
-0.10%
|
KA
|
120
|
110
|
9.09%
|
KCB
|
820
|
830
|
-1.20%
|
NMG
|
2,380
|
2,360
|
0.85%
|
USL
|
80
|
80
|
0.00%
|
|
|
|
|
Mtaji Jumla Makampuni
yote (Bilioni)
|
20,455
|
20,887
|
-2.07%
|
Mtaji Jumla Makampuni
ya Ndani (Bilioni)
|
10,163
|
10,165
|
-0.02%
|
Kiashiria cha DSEI
(pointi)
|
2,124
|
2,172
|
-2.21%
|
Kiashiria cha TSI
(pointi)
|
3,876
|
3,904
|
-0.72%
|
Viashiria (Indices)
Kiashiria cha kampuni
zote zilizoorodheshwa katika soko yaani DSEI kimeshuka kwa pointi 48 kutoka
pointi 2,172 hadi 2,124 pointi hii ikiwa ni kutokana na kushuka kwa bei za hisa
za Acacia (ACA) kampuni Kenya Airways (KA), Tetepa (TTP) East African Breweries
Ltd (EABL) na Dar es Salaam Stock Exchange Plc (DSE).
Pia kishiria cha
kampuni za ndani yaani TSI kimepungua kwa pointi 27 kutoka pointi 3,904 hadi pointi
3,876 kutokana na kushuka kwa bei za hisa za Tatepa na DSE Plc
Kiashiria cha sekta
ya viwanda (IA) kimepungua kwa pointi 1 kutoka pointi 5,380 hadi pointi 5,379
Kiashiria huduma za
kibenki na kifedha (BI) kimeshuka kwa pointi 1 kutpka pointi 2,498 hadi pointi
2,497.
Kiashiria cha Sekta
ya huduma za kibiashara (CS) wiki hii imebaki kama
awali kwenye wastani wa pointi 2,462
Hati
Fungani (Bonds)
Mauzo
ya hati fungani katika wiki iliyoishia tarehe 27 Oktoba 2017 yalikuwa Shilingi
Milioni 500 kutoka Shilingi Bilioni 13 wiki iliyopita ya 20 Oktoba 2017
Mauzo haya yalitokana na hatifungani saba (7)
za serikali na mashirika binafsi zenye jumla ya thamani ya Shilingi Milioni 600
kwa jumla ya gharama ya Shilingi Milioni 500
No comments:
Post a Comment