Imetolewa na Utawala Habari 24 Blog.
Ikiwa siku ya jana ya tarehe 25 ya mwezi Novemba imekuwa ni siku ya kihistoria kwa kuwa na matukio mawili makubwa la kwanza likiwa ni Fiaesta ambayo mpaka Mh. Rais Magufuli aliifagilia na la pili ni maafari ya chuo cha ustawi wa jamii.
Chuo cha ustawi wa jamii siku ya jana kimefanya maafari yake ya 41 toka kuanzishwa kwake, na wameweza kuhitimu wanafunzi zaidi ya 300 kwa siku hiyo na mmoja wapo akiwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Habari 24 Media bw. Exaud Mtei.
Habari 24 inachukua nafasi hii kumpongeza mkurugenzi wake kwani safari aliyokuwa nayo ya miaka mitatu haikuwa raisi na kwa kuwa aliweza kumtanguliza mungu hatimaye amatimiza kile alichokipanga na tunaendelea kumuombea mungu aendelee kumuongoza amalize Masters na hatimaye PHD.
|
No comments:
Post a Comment