Wednesday, November 22, 2017

KAFULILA AWEKA WAZI SABABU ZA KUJIONDOA CHADEMA

Mbunge wa zamani wa CHADEMA aliyekuwa akilitumikia jimbo la Kigoma Kusini kwa mwaka 2010 mpaka 2015 akiwa ndani ya chama hicho David Kafulila ameamua kujivua uwanachama wa chama hicho kwa madai ya kuwa hana imani na upinzani.
  Image result for david kafulila
Kafulila ni miongoni mwa wabunge vijana wachache waliaoichachafya serikali kwa kuibua mambo mengi ya vitendo vya rushwa na ufisadi na mpaka kufikia jana ameamua kutoa taarifa rasmi ya kujiondoa katika upinzani.

David Kafulila anafahamika zaidi kwa kuibua mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa kwa kuibua bungeni suala la Escrow.

No comments: