![]() |
| Msanii Jux akitoa burudani kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara usiku wa kuamkia jumapili. |
![]() |
| Janjaro akitumbuiza katika tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara usiku wa kuamkia jumapili. |
![]() |
| Genevieve Mpangala akitumbuiza katika jukwaa la TIgo fiesta mapema usiku wa uamkia jumapili katika viwanja vya |
![]() |
| Aslay akiimba na mashabiki zake katika jukwaa la Tigo Fiesta mapema usiku wa kuamkia jumapili. |
![]() |
| Chege akitumbuiza katika jukwaa la tigo mkoani Mtwara |
![]() |
| Msanii Snura akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta mapema usiku wa kuamkia jumapili. |
![]() |
| Lulu diva akiwa katika jukwaa la Tigo fiesta amasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara usiku wa kuamkia jumapili. |
![]() |
| Madee akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara usiku wa kuamkia jumapili. |








No comments:
Post a Comment