Kampuni ya
simu za mkononi TECNO Mobile Ltd imeendeleza cheche zake katika kuhakikisha
inazalisha bidhaa stahiki kufuatia ongezeko la watumiaji wa simu na matumizi
mbalimbali kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia.
Mwaka jana
kulikua na tetesi za kuwa kwa mwaka 2018 wanatarajia kutoa simu mpya ambayo
itakua ya kwanza kutoka kwao na itakua ya kipekee kulingaisha na simu
zilizotangulia awali.
Kumekua na
habari mbalimbali kutoka kwa wafuatiliaji wa teknolojia kuwa, kwa mwaka 2018,
kampuni ya simu za mkononi TECNO Mobile Ltd itatoa muendelezo wa toleo la
CAMON, kwanai mwaka jana muda kama huu walitoa muendelezo wa simu ya CAMON na
kutoa CA
MON CX na ilikua ni moja ya simu iliyokubalika sana kwa wadau na
watumaji wa bidha z TECNO.
Hivo
inaamika kwa mwaka huu pia watatoka na muendelezo huo. CAMON CX ilikua ni simu
yenye uwezo mkubwa wa Camera kwani ilikua na MP 16 kamera ya mbele na nyuma na
hivyo kuteka soko kubwa la watuamiji wa simu janja (SmartPhone).
Kwenye hii
simu mpya kunauwezekano ikawa na vitu vizuri zaidi kutoka na tafiti za
watumiaji na wadau wa simu kutoka TECNO!
Muundo : Kutokana na mabadiliiko ya
tekinolojia makampuni ya simu yamekua yakibadilisha upepo na kwenda na mabadiliko
ya kitekinolojia na mahitaji ya watumiaji wa simu janja (SmartPhone), hivyo
simuu hii mpy ainataraajiwa na kuwa na skirini nzim a yenye kioo!
Kamera: Simu za nyuma zimekua zikifanya
vizuri kwa upande wa kamera, kwenye simu hii kamera inaweza ikawa ni FULL HD.
Mtandao wa 4G : Mfumo wa mtandao (Network)
inatarijiwa kuwa ni 4G LTE, kasi zaidi kulinganisha na simu zingine.
Bei nafuu : Bei yake inawezakufika kwenye laki
3 (300,000 TZS), bei itakua nafuu
kulinganisha na Phantom 8 iliyozinduliwa mwaka jana ambayo bei yake ilikua juu
kidogo.
Kwa taarifa
zaidi tembelea tovuti ya TECNO www.tecnotz.com na kurasa zao za mitandao yao ya
kijamii
No comments:
Post a Comment