homa ya watani wa jadi

wakati mchezo kati ya watani wa jadi tanzania simba na yanga ikizidi kupanda mashabiki wa timu hizo mbili wameendelea kutambiana kabla ya mchezo huo.baadhi ya mashabiki wa mchezo hao wamedai kuwa timu zote zimesajili kwa umakini mkubwa na kilichobaki ni mbinu mbali mbali za uwanjani.watani hao watakutana jumatano ijayo ya tarehe 3 katika uwanja wa taifa jijijini dar es salaam

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.