Monday, October 1, 2012

[caption id="attachment_60" align="aligncenter" width="300"] Leo tarehe 01 octoba 2012, nimefrahi sanaa kuona mabadiliko ya dhati ktk taifa letu katika sekta ya usafiri jijini Dar. Juzi tuliskia majaribio ya treni kutoka maeneo ya ubungo mpaka tktt ya jiji, jana tukaskia project kubwa ya mabasi yaendayo kasi katika jiji la Dar es salam.
Leo tumeona na tunashuhudia uzinduzi wa safari mpaya za treni ambazo zitapita kandokando ya jiji mpaka kurasini.. Mwakyembe ameonyesha njia.
Hii ni picha ya treni ikiwa na abiria leo asubuhi jijini Dsm[/caption]

No comments: