CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KIMEKUBALI KUPELEKA USHAHIDI WA MKANDA WA VIDEO UNAOONYESHA POLISI WAKIRUSHA BOMU NA KUPIGA RISASI WANANCHI KATIKA MKUTANO HUKO SOWETO ARUSHA MAPEMA WIKI HII
AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA LEO KATIBU MUENEZI WA CHAMA HICHO TAIFA JOHN MNYIKA AMSEMA CHADEMA LAZIMA ITOE MKANDA HUO KWA UMMA ILI KUONYESHA WANANCHI NA DUNIA NZIMA KUWA SERIKALI INATUMIA UMWAGAJI DAMU KATIKA KUBAKI MADARAKANI
HATA HIVYO AMESEMA KUWA KABLA YA KUUTOA KWA UMMA MWENYEKITI WAO MH ,BOWE AMEHITAJI KUKUTANA NA KAMATI KUU YA CHAMA HICHO HUKO ARUSHA KULADILI SWLA HILO NDIPO WAUTOE KWA UMMA
KATIKA HATUA NYINGINE CHADEMA IMEWASHUTUMU POLISI KWA KUWAPIGA NA KUWATESA VIJANA WATATU WA CHADEMA AMBAO NDIO WALIOREKODI MKANDA HUO
No comments:
Post a Comment