.

BREAKING NEWZZZZ ARUSHA KIMENUKA TENA

HABARI AMBAZO BLOG YENU ISIYO NA AIBU KUTAFUTA HABARI NA AMBAYO HAINA TABIA YA KOKOPI BILA USHAHIDI NI KUWA HUKO ARUSHA POLISI WAMELAZIMIKA KUTUMIA MABOMU YA KUTOA MACHOZI KUWATAWANYA WANANCHI WENGI WALIOKUSANYIKA KUAGA MIILI YA WANANCHI WALIOFARIKI JUZI KATIKA MKUTANO WA CHADEMA KWA KUPIGWA NA KITU KINACHOSADIKIWA KUWA NI BOMU


CHANZO CHETU KUTOKA ARUSHA KINASEMA WANANCHI WAMEKUWA WAKIBISHANA NA SERIKALI KUHUSU MAHALI SAHIHI PA KUAGIA MIILI HIYO JAMBO LILIILOZUA UTATA MKUBWA HADI KUFIKIA HATUA HII

HABARI ZAIDI MTAZIDI KUZIPATA KADIRI ZINAVYOJIRI
ASANTENI KWA KUCHAGUA KUSOMA HAPA

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.