VYOMBO VYA HABARI VIMEKUWA VIKIRIPOTI TOKA JANA KUHUSIANA NA KIFO CHA SAIDA KAROLI MSANII KUTOKANA NA KUZAMA KWA BOTI ZIWA VICTORIA
HABARI NI KWAMBA HABARI HIZO NI ZA KUZUSHA KWANI NI KWELI AJALI IMETOKEA ILA SAIDA HAKUWEPO KABISA KWENYE AJALI HIYO
NI MZIMA KABISA NA ANAENDELEA NA MAISHA YAKE
ASANTEN
No comments:
Post a Comment