TANZANIA YAULA,YASAINI MAKUBALIANO YA KUJENGEWA ACADEMY YA MPIRA NA SUNDERLAND YA UINGEREZA
RAISI KIKWETE WA TANZANIA ALIPOTEMBELEA ACADEMY YA CLUB YA SUNDERLAND
Katika taarifa iliyotolewa leo dar es salaam na waziri wa michezo inasema kuwa raisi kikwete alipokuwa nchini uingereza alipata nafasi ya kutembelea academy ya michezo ya clab ya ligi kuu ya england sundeland na kuahidiwa mambo makubwa.
waziri mukangara amesema raisi kikwete ameahidiwa kujengewa academy ya kisasa ya michezo ya mpira miguu na kampuni ya symbion power ambayo itashirikiana na clab ya sundelend
amesema tunategemea accademy hiyo itasaidia club zetu kupata wachezaji walio bora na walioandaliwa kuwa wachezaji wa kimataifa na hivyo kuboresha timu ya taifa
kutokana na umuhimu wa suala hilo viongozi wakuu wa symbion wanatarajiwa kuja hapa nchini na watakutana na waziri fenela mukangala kwa ajili ya makubaliano ya mpango huo
No comments:
Post a Comment