KESI YA UGAIDI DHIDI YA MME WA JOYCE KIRIA NA WENZAKE YAFUTWA,SASA WAKO HURU

HENRY KILEO KULIA AKIWA AMNAONYESHA ISHARA YA CHADEMA AKIWA NA VIJANA WENGINE WALIOKUWA WANAKABILIWA NA KESI HIYO BAADA YA KUACHIWA HURU

          VIJANA WALIOKUWA WANAKABILIWA NA KESI YA UGAIDI AMBAO NI VIJANA KUTOKA CHAMA CHA CHADEMA TABORA LEO WAMEACHIWA HURU BAADA YA  KUFUTIWA MASHTAKA YAO HAYO AMBAYO YALIKUWA YANAWAKABILI MMOJA AMBAYE ALIKUWA AMESHIKILIWA NI MME WA MTANGAZAJI MAARUFU JOYSE KIRIA BW HENRY KILEO

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.