.

MSD---HAKUNA UPUNGUFU WA CONDOM TANZANIA ZIPO ZA KUTOSHA

NAIBU MKURUGENZI MKUU WA BOHARI KUU YA DAWA TANZANIA MSD AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM
             BOHARI KUU YA DWA TANZANIA IMESEMA KUWA KINGA DHIDI YA UKUMWI
(KONDOM) ZIPO ZA KUTOSHA NCHINI,NA SIO CHACHE KAMA BAADHI YA WATU WANAVYOENEZA MANENO  KUWA KUNA UPUNGUFU WA KINGA HIYO KATIKA BAADHI YA MAENEO HAPA NCHINI

            AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM NAIBU MKURUGENZI MKUU  WA MSD BW ISAYA MZORO AMESEMA KIWANGO CHA UPATIKANAJI WA KONDOM NCHINI NI CHA HALI YA JUU NA HAKUNA UPUNGUFU WOWOTE NA KUSEMA KUWA KAMA KUNA MAENEO AMBAYO KINGA HIYO NI ADIMU BASI NI UZEMBE WA KUZIFWATA BOHARI KUU YA MADAWA ILA HAKUNA UPUNGUFU

            WAANDISHI WA HABARI WALITAKA KUFAHAMU HILO BAADA YA KUWA NA MANENO KUWA KINGA HIYO IMEKUWA ADIMU SANA HUSUSANI MAENEO YA VIJIJINI AMBAPO  BW ISATA AMESEMA KUWA KAMA KUNA MAENEO AMBAYO HAYAPATI MADAWA HAYO KWA WINGI BASI WARIPOT BOHARI KUU YA DAWA ILI WAWEZE KUHUDUMIWA

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.