Monday, February 17, 2014

KAMA HUJAJUA MSIMAMO WA ZITTO ZUBERI KABWE BASI NDIYO HUU!!!!: HATAKI NA HATAPOKEA POSHO YA SH300,000 KATIKA BUNGE LA KATIBA KWANI ADAI HUO NI WIZI MTUPU.

ZITTO ZUBERI KABWE akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho.
Zitto ameongezea kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu analipwa kati ya 200,000 mpaka 300,000 kwa mwezi wakati wabunge wanapokea posho kwa siku

No comments: